WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA FEDHA ZA MISAADA YA MABADILIKO YA TABIANCHI

Mwenyekiti wa bodi ya ForumCC,  Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za misaada hasa kwenye mabadiliko ... thumbnail 1 summary
Mwenyekiti wa bodi ya ForumCC, Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za misaada hasa kwenye mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika leo  jijini Dar 
 Mratibu wa Forum CC, Rebecca Muna akitoa maelezo kuhusu ForumCC kwenye semina na wadau wa mazingira  waliofika kujadili changamoto za bajeti ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imewashirikisha baadhi ya wadau wa mazingira hapa nchini na nje ya nchi 
 Judy Ndichu ambaye ni mjumbe wa mazingira kutoka nchini Kenya akitoa somo kwa washiriki wa semina hiyo kuhusu changamoto zinazopatikana kwenye bajeti zinazotolewa kwenye mabadiliko ya tabianchi
 
Wajumbe wakifuatilia kinachoendelea kwenye mkutano huo
Picha ya Pamoja