Baraza la mawaziri la Magufuli utalipenda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli leo ametangaza baraza jipya la mawaziri katika serikali ya awamu ya tano. ... thumbnail 1 summary
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli leo ametangaza baraza jipya la mawaziri katika serikali ya awamu ya tano.
20151210035203
Rais Magufuli amesema kuwa baadhi ya wizara hazitakuwa na manaibu waziri, Lengo likiwa ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama.

Hili ndio Baraza la Magufuli:
1.Ofisi ya Rais, Tamisemi Utumishi na Utawala Bora – Mawaziri: George Simbachawene, Angela Kairuki, Naibu: Selemani Jafo
2.Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira – Waziri: January Makamba, Naibu Waziri:Luhanga Mpina
3.Ofisi ya Waziri mkuu , Sera , Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu – Waziri:Jestina Muhagama, Manaibu: Dr Abdallah Possi, Anthony Mavunde
4.Kilimo, Mifugo na Uvuvi – Waziri: Mwigulu Nchemba, Naibu: William Nasha
5.Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano – Waziri: Bado hajapatikana, Naibu: Injin. Edwin Ngonyani
6.Fedha na Mipango: Waziri: Bado hajapatikana, Naibu: Ashantu Kizachi
7.Nishati na Madini – Waziri: Sospeter Muhongo, Naibu: Medalled Karemaligo
8.Katiba na Sheria – Waziri: Harrison Mwakyembe
9.Mambo ya nje, Afrika Mashariki – Waziri: Augustine Mahiga, Naibu: Suzan Kolimba
10.Ulinzi na jeshi la kujenga taifa – Waziri: Hussein Mwinyi
11.Mambo ya ndani – Waziri: Charles Kitwangwa
12.Ardhi nyumba na makazi – Waziri: William Lukuvi, Naibu: Angelina Mabula
13.Maliasili na Utalii – Waziri: Bado hajapatikana, Naibu:Ramol Makani
14.Viwanda na uwekezaji – Waziri : Charles Mwijage
15.Elimu, sayansi, Teknolojia na Ufundi – Waziri: Bado hajapatikana, Naibu:Inj. Stella Manyanya
16.Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto – Waziri: Ummy Mwalimu, Naibu:Hamis Kigwangala
17.Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo – Waziri: Nape Nnauye, Naibu: Anastasia Wambura
18.Maji na umwagiliaji: Waziri: Prof. Makame Mbarawa, Naibu: Isack Kamwela