Mchoraji wa ghana aitwae Dennis Owusu-Ansah ameishangaza dunia kwa
kuchora picha za mastaa wakubwa duniani wakiwa wamevalia mavazi ya asili
ya Afrika na kuwapa majina ya kiafrika, yumo Jay Z , Rihanna, Drake ,
Rick Ross na Chris Brown.
Created By Sora Templates & Blogger Templates | Gooyaabi Templates