Ubalozi wa Ufaransa kwa kushirikiana na Alliance France Februari
25, 2016 wameendesha mdahalo mkubwa kujadili umuhimu wa kuzingatia kanununi za
uhifadhi wa mazingira katika ujenzi katika miji mikubwa nchini.
Mdahalo huo mbali na kuhudhuariwa na watu mbalimbali kutoka
kwenye taasisi za serikali, mashirika binafsi, pia ulihudhuriwa na viongozi
mbalimbali akiwemo Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu Wa Rais- Mazingira
na Muungano Mh. January Makamba,
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bibi Melika Berak.
Wachangia mada
katika mdahalo huo, kutoka kushoto ni Profesa Alphonce Kyessi kutoka Chuo Cha
Ardhi Dar es Salaam, Mhandisi Anoek de Smet, Mhandisi kutoka Ufaransa, Aline d’Amman
pamoja na Mkurugenzi wa Jarida la ANZA, John Senyonyi
Wadau wakifuatilia mdahalo huo
Balozi wa Ufaransa
nchini Tanzania Bibi Melika Berak (wa kwanza kulia) akifuatiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu Wa Rais- Mazingira
na Muungano Mh. January Makamba
wakifuatilia mdahalo huo
Profesa Alphonce Kyessi kutoka Chuo Cha Ardhi Dar
es Salaam
Mkuu wa Idara ya Mambo ya Ushirikiano na
Utamaduni, Ubalozi wa Ufaransa, Philippe Boncour akizungumza jambo wakati wa mdahalo huo