NAIBU WAZIRI MPINA AMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS KATIKA MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI JIJINI MWANZA

N aibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina kushoto aliyeshika nafaka mkononi, akipata maelezo toka kw... thumbnail 1 summary
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina kushoto aliyeshika nafaka mkononi, akipata maelezo toka kwa Bi. Leokadia Vedastus Program manager wa kikundi cha sauti ya wanawake Tanzania toka Ukerewe, nafaka iayotengenezwa kwa kuzingatia utunzanji wa mazingira. Naibu Waziri Mpina alimuwakilisha Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hasan katika mkutano ulohusu mabadiliko ya tabia nchi na uchafuzi katika ziwa Victoria, jijini Mwanza Leo.
Picha ya Pamoja ya Washiriki wa Mkutano ulohusu mabadiliko ya tabia nchi na uchafuzi katika ziwa Victoria ambapo Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina, alimuwakilisha Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hasan Mkutano huo umefanyika jijini Mwanza leo. (Picha na Evelyn Mkokoi)