Haya ndio mafanikio ya wanawake wanaoshiriki kwenye shughuli za Uhifadhi Shirikishi wa Misitu

Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG) kwa kushirikiana na MJUMITA chini ya ufadhili wa Serikali ya Uswisi (SDC), wamewajengea... thumbnail 1 summary

Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG) kwa kushirikiana na MJUMITA chini ya ufadhili wa Serikali ya Uswisi (SDC), wamewajengea uwezo wananchi katika vijiji vinavyotekeleza miradi ya Usimamizi Shirikishi ya Misitu na Matumizi Endelevu wa mazao yanayotokana na misitu juu ya umuhimu wa kushirikisha makundi yote katika jamii katika kuhifadhi na matumizi ya rasilimali zinazotokana na sekta hiyo kwa manufaa ya jamii.