MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU SUA ATUPA MTOTO MCHANGA CHOONI

MMOJA wa mashuhuda wa tukio hilo akiangua kilio kwa uchungu baada ya polisi kukiweka kiumbe hicho kwenye mfuko warambo na kutoweka na... thumbnail 1 summary
MMOJA wa mashuhuda wa tukio hilo akiangua kilio kwa uchungu baada ya polisi kukiweka kiumbe hicho kwenye mfuko warambo na kutoweka nacho
Askali hao wakieleka kwenye gari na mwili wa marehemu huyo waliyemshika mkononi
Mtumishi wa usafi hostel la wanafunzi wa SUA Bw Andrew Seluhimbo[aliyenyoosha kidole] akijianda kupanda gari la polisi kueleka kituo kwa maelezo zaidi
Hili ndilo shimo ambalo kichanga hicho kilikutwa akikiwa tayari kimeshakufa
Afisa wa jeshi la polisi mkoa wa morogoro[mwenye nguo nyeusi akitazama shimo hilo kwa majonzi makubwa,hata hivyo baadae Afisa huyo wa polisi alipata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wanafunzi waliokuwepo eneo la tukio nakuonyesha kukelwa nakitendo hicho"nyinyi mnanafasi ya kuzaa na kurudi tena chuoni kwa msomo kufanya kitendo hiki ni jambo la ajabu sana kwangu"aliema Afisa huyo wa polisi
Hiki ni kibao kinachoelekeza kuingia hostel hiyo ya kike
 HIKI ndio kichAnga cha kiume kinachodaiwa kutupwa Chooni na msomi wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine[SUA]