Waziri
wa maliasili na utalii balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akijadiliana
jambo na rais mstaafu wa Nigeria jenerali Olusegun Obasanjo mjini
Malabo, Equatorial Guinea ambapo wanahudhuria mkutano wa tisa wa
sullivan unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya bara la
Afrika. Picha na Pascal Shelutete.