Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yaelezea utendaji na mafanikio yake

 Kaimu Mhifadhi kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Bruno Kawasange akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu utendaji na mafanikio mba... thumbnail 1 summary
 Kaimu Mhifadhi kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Bruno Kawasange akieleza kwa waandishi wa habari kuhusu utendaji na mafanikio mbalimbali waliyoyapata tangu kuundwa kwake mwaka 1959 chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii,katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari  leo Jijini Dar es Salaam na Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Zamaradi Kawawa.
Kaimu Mhifadhi kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Bruno Kawasange akiwaonesha waandishi wa habari jarida linaloeleza mambo mbalimbali yanayotekelezwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro

Picha na Frank Mvungi-MAELEZO