UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 26/08/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 26/08/2013.


[Mikoa ya Dar Es Salaam,  Pwani  na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Kigoma, Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma,  Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya Iringa Mbeya, na  Morogoro]:
[Mikoa ya Mara,  Kagera  na Mwanz a]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
23°C               
12°C               
12:38
12:37
D'SALAAM
32°C           
19°C           
12:30
12:22
DODOMA
27°C
14°C
12:43
12:37
KIGOMA    
31°C
17°C
01:06
01:02
MBEYA
22°C
09°C
12:55
12:43
MWANZA
31°C
16°C
12:51
12:51
TABORA
30°C
15°C
12:54
12:50
TANGA
28°C
21°C
12:29
12:25
ZANZIBAR
30°C           
23°C           
12:30
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma; kwa kasi ya km 30 kwa saa, kutoka Kusini kwa Pwani ya                     Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 28/08/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 26/08/2013

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.