UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 30/08/2013.

WIZARA YA UCHUKUZI  MAMLAKA  YA HALI YA HEWA               S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM TELEFAX-2460772. email: met@meteo.go.tz [Afri... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
 MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
              S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772. email: met@meteo.go.tz
[African Media Group Radio Station (Magic FM 92.9 and Classic FM 103.1)

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 30/08/2013.


[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
[Mikoa ya Mara na  Mwanza]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mkoa wa  Kagera]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
 [Mikoa ya Morogoro, Ruvuma Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Dodoma, Mbeya, Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar Es Salaam, Iringa  na Pwani]:
 [Mikoa ya  Kigoma, Shinyanga na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
14°C               
12:38
12:37
D'SALAAM
32°C           
19°C           
12:30
12:22
DODOMA
28°C
15°C
12:43
12:37
KIGOMA   
31°C
17°C
01:06
01:02
MBEYA
26°C
10°C
12:55
12:43
MWANZA
31°C
16°C
12:51
12:51
TABORA
33°C
18°C
12:54
12:50
TANGA
28°C
22°C
12:29
12:25
ZANZIBAR
31°C           
22°C           
12:30
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini – Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani                  ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumapili: 01/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 30/08/2013

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.