Endapo utafanikiwa kumla samaki huyu mwenye gamba gumu anayekwenda kwa jina la Oyster basi utakuwa na asilimia 99 ya kuongeza nguvu za kiume ndani ya dakika 10.
Samaki huyu atakurudishia uwezo wako wa zamani kabla mambo hayajaanza kukuharibikia, tena dawa hii ni salama kwa kuwa ni kama chakula tu.
Mtaalamu wa mapishi kutoka Culinary Chamber kwa moyo mkunjufu ameamua kushare nasi habari hii njema. Huna nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa? Unakosa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa? Perfomance imeshuka? "Basi tatizo lako ni 'low T' au low testosterone," na ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi.
Oysters wana Protein, magnesium na madini ya zinc kwa wingi sana kuliko chakula chochote duniani, ambayo zinc hiyo inasaidia sana kuongeza testosterone, kukuimarisha na kukuza misuli katika mwili, ukakamavu wa hisia za kimwili na kuzalisha manii ya kutosha (sperm). Chakula kingine chenye zinc nyingi kinachoweza kukusaidia ni maini ya kuku na mbegu za maboga.
Juu, ni hatua za kumwandaa samaki huyo
Unaonahiyo nyama baada ya kumfunua samaki huyo
Mtaalamu anasema ukiona kinyaa wakati wa kumla, basi weka chumvi na limao kisha umle taratibu, lakini pia unaweza kumwagia balsamic vinegar au siki kuongeza ladha.
Dozi: vipande viwili au vitatu vinatosha kabisa kwa dozi moja na inashauriwa kula mara moja kila baada ya wiki moja. Kama kumla akiwa mbichi inakupa tabu basi nunua wale wa kwenye makopo au wa kuchemsha lakini chonde chonde usile wale wa BBQ au wa kukaanga. Baada ya kazi muulize wife atakupa majibu!!!
Chanzo: activechef