WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 01/09/2013.
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Mara, Mwanza na
Kagera]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Ruvuma,Shinyanga,
Lindi na Mtwara] :
[Mikoa ya Dar Es Salaam,
Morogoro na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma, Mbeya,
Singida na Rukwa]:
[Mikoa ya Kigoma, Iringa na Tabora]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA
NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
26°C
|
11°C
|
12:33
|
12:35
|
D'SALAAM
|
31°C
|
20°C
|
12:24
|
12:22
|
DODOMA
|
30°C
|
16°C
|
12:38
|
12:36
|
KIGOMA
|
31°C
|
21°C
|
01:02
|
01:00
|
MBEYA
|
28°C
|
10°C
|
12:49
|
12:43
|
MWANZA
|
28°C
|
17°C
|
12:47
|
12:49
|
TABORA
|
32°C
|
18°C
|
12:50
|
12:48
|
TANGA |
29°C
|
22°C
|
12:25
|
12:23
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
20°C
|
12:24
|
12:22
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma
kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa
Pwani
ya Kaskazini
na kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumanne:
03/09/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 01/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.