UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 25/09/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 25/09/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Kigoma na  Shinyanga ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga, Dar-Es-Salaam  na Pwani]:
[Mikoa ya Mtwara , Lindi na  Ruvuma]:
[Mikoa ya Tabora, Singida na Dodoma]: 
[Mikoa ya Rukwa,  Iringa, Mbeya na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
25°C               
16°C               
12:24
12:30
D'SALAAM
33°C           
20°C           
12:13
12:19
DODOMA
30°C
18°C
12:27
12:33
KIGOMA   
31°C
22°C
12:57
12:58
MBEYA
25°C
15°C
12:36
12:41
MWANZA
28°C
21°C
12:38
12:44
TABORA
32°C
21°C
12:39
12:45
TANGA
30°C
22°C
12:14
12:20
ZANZIBAR
31°C           
21°C           
12:13
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini - Mashariki kwa Pwani ya kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 27/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 25/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.