UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 05/12/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 05/12/2013.


[Mikoa ya Kagera  Kigoma, Rukwa na Tabora]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya  Mara,Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Iringa, na Mbeya  ]:


Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam na  Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro na Tanga]:
 

[Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:


Hali ya mawingu kiasi , mvua  katika  maeneo machache  na vipindi vya jua.

Hali ya mawingu kiasi , mvua nyepesi katika  maeneo machache  na vipindi vya jua.

ANGALIZO: ONGEZEKO LA MVUA LINATEGEMEWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA       YA KIGOMA, TABORA, RUKWA, KATAVI NA KAGERA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28C               
17°C               
12:17
12:31
D'SALAAM
33°C           
23°C
11:59
12:27
DODOMA
31°C
19°C
12:15
12:36
KIGOMA   
27°C
19°C
12:40
01:02
MBEYA
27°C
16°C
12:19
12:53
MWANZA
27°C
20°C
12:32
12:44
TABORA
31°C
19°C
12:28
12:50
TANGA
32°C
24°C           
12:03
12:25
ZANZIBAR
32°C           
24°C           
11:59
12:27

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumaKutoka Kaskazini -Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa  kwa
                               Pwani   yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 07/12/2013: Mabadiliko kidogo                           
                                                                       
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 05/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.