News alert: ndege ya shirika la virgin yatekwa nyara indonesia asubuhi hii

Ndege ya shirika la Virgin iliyokuwa inaruka toka Australia inasemekana imetekwa nyara katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bali nchini ... thumbnail 1 summary
Ndege ya shirika la Virgin iliyokuwa inaruka toka Australia inasemekana imetekwa nyara katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bali nchini Indonesia muda mchache uliopita, wamesema maafisa wa usalama wa nchi hiyo. Tunafuatilia na habari zaidi tutaleta kadri zitavyopatikana. Chanzo Michuzi