UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 04/04/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 04/04/2014.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Tabora na Kigoma]:


Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro kusini (Mahenge)]:
[Mikoa ya Arusha,Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mbeya, Iringa na  Rukwa]:
[Mikoa ya Dar es salaam na Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro kaskazini]:
[Mikoa ya Singida na Dodoma]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo
Machache na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C
18°C
12:36
12:38
D'SALAAM
32°C
23°C
12:27
12:25
DODOMA
28°C
20°C
12:40
12:39
KIGOMA   
29°C
21°C
01:04
01:05
MBEYA
25°C
16°C
12:51
12:48
MWANZA
29°C
19°C
12:50
12:53
TABORA
30°C
18°C
12:52
12:53
TANGA
32°C
25°C
12:27
12:28
ZANZIBAR
32°C
25°C
12:27
12:25

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki;kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 10 kwa Pwani ya Kusini.
                                                        
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa  na Mawimbi madogo.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 6/04/2014: Mabadiliko kidogo.
 
 Utabiri huu umetolewa leo tarehe 04/04/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.