Sehemu ya washiriki wakifuatilia mafunzao katika siku ya pili ya warsha
ya mafunzo kwa mafundi mafriji na viyoyozi kuhusu kemikali rafiki kwa
tabaka la hewa ya Ozoni mjini Arusha
Aliyesimama bwana Erasto Mosha.. mwalimu kutoka chuo cha ufundi cha VETA
Moshi akitoa mafunzo kwa washiriki wakati wa semina kwa mafundi mafriji
na viyoyozi kuhusu Filter ya kuchuja gas. (Picha na Evelyn Mkokoi
Arusha)