WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 20/02/2015.
[Mikoa ya Mara, Kagera
Geita, Kigoma, Shinyanga na Mwanza]:
[Mikoa ya Kigoma, Mbeya,
Iringa, Rukwa, Katavi na Njombe]:
[Mikoa ya Tabora, na Ruvuma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[ Mkoa wa Morogoro(kusini)]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Arusha, Manyara
na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani
na Tanga]:
[Mkoa wa
Morogoro(Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
15°C
|
12:43
|
12:52
|
D'SALAAM
|
34°C
|
24°C
|
12:29
|
12:44
|
DODOMA
|
31°C
|
19°C
|
12:44
|
12:57
|
KIGOMA
|
30°C
|
20°C
|
01:09
|
01:20
|
MBEYA
|
26°C
|
14°C
|
12:51
|
01:08
|
MWANZA
|
29°C
|
16°C
|
12:57
|
01:05
|
TABORA
|
30°C
|
13°C
|
12:57
|
01:08
|
TANGA |
32°C
|
24°C
|
12:32
|
12:43
|
ZANZIBAR
|
33°C
|
24°C
|
12:29
|
12:44
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma
kutoka Kaskazini-Mashariki Kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa kasi ya Km 20 kwa saa kwa
Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumapili:
22/02/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 20/02/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.