JE UNAUJUA MTO TARANGIRE ULIO NDANI YA HIFADHI YA TAIFA YA TARANGIRE

Mto Tarangire ambao unapita ktk hifadhi ya taifa ya Tarangire unavyoonekana tokea sehemu ya kulia chakula ijulikanayo kama Matete picn... thumbnail 1 summary
Tarangire National park Tembea Tanzania
Mto Tarangire ambao unapita ktk hifadhi ya taifa ya Tarangire unavyoonekana tokea sehemu ya kulia chakula ijulikanayo kama Matete picnic site iliyo ndani ya hifadhi. Matete picnic site ipo juu ya mlima ambako mto Tarangire unakuwa unapita karibu.

Tarangire National park Tembea Tanzania
 Tarangire ni hifadhi inayootongoza kwa kuwa na Tembo wengi kwa hifadhi za hapa Tanzania. Selous inawekwa kando ktk takwimu hizi kwa kuwa yenyewe ni pori la akiba, sio national park.
Tarangire National park Tembea Tanzania

Tarangire National park Tembea Tanzania
Karibu Tanzania, Karibu Hifadhi ya Tarangire
Picha zote toka maktaba ya TembeTz