NDEGE MPYA YA ETHIOPIA YAANZA KUTUMIA UWANJA WA NDEGE KIA

  Ndege aina ya Boeng 787 iliyopewa jina Dream Liner ikiwasili katika uwanja wa ndege wa a kimataifa wa Kilimanjaro   ... thumbnail 1 summary


 
Ndege aina ya Boeng 787 iliyopewa jina Dream Liner ikiwasili katika uwanja wa ndege wa a kimataifa wa Kilimanjaro
 
Sehemu ya V.I.P ndani ya ndege hiyo

Rubani wa ndege  hiyo na baadhi ya wahudumu wa ndege hiyo wakikata keki kusheherekea uzinduzi wa ndege na kusherehekea sikuku ya Eid al fitr

Mwenyekiti wa Shirikisho la Utalii Tanzania TCT, Gaudence Temu