NYAYA ZAIDI 120 ZAMATWA KATIKA OPERESHENI YA KUSAKA MITEGO KATIKA HIFADHI YA WANYAMAPORI YA GONABEACH MOROGORO.

Msaidizi Muhifadhi wa wanyamapori wilaya ya Morogoro, Abdallah Mtiba akionyesha mitengo ya nyaya za wanyamapori zaidi ya 120 ambazo maj... thumbnail 1 summary
Msaidizi Muhifadhi wa wanyamapori wilaya ya Morogoro, Abdallah Mtiba akionyesha mitengo ya nyaya za wanyamapori zaidi ya 120 ambazo majangili kuliwatega wanyama katika hifadhi ya wanyamapori ya GONABEACH inayozunguka vijiji 21 vya kata ya Bwakila chini na Kisaki mara baada ya kuzikamata akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ofisi za idara hiyo mkoani hapa.
Chanzo: Jumamtanda blog