UNAFAHAMU KUWA UDONGO UNATUMIKA KAMA UREMBO? JIONEE MWENYEWE

Wanawake wa kabila la Himba lililoko nchini Zambia wanajipaka matope wanayo yaita 'Otjize' na ni kwasababu hiyo wamepewa jina la &... thumbnail 1 summary
Wanawake wa kabila la Himba lililoko nchini Zambia wanajipaka matope wanayo yaita 'Otjize' na ni kwasababu hiyo wamepewa jina la 'Red Women.'


Inasemekana matope hayo wanayapaka ili kuzuia wadudu na jua lakini wahimba wenyewe wanasema wanasababu zao muhimu zinazowafanya wapake matope hayo.
Matope haya yanapakwa na wanawake wa Himba kila waamkapo asubuhi lakini wanaume hawaruhusiwi kupaka.