Jana
tarehe 12 Oktoba, 2012 wabunge wa Tanzania ambao wanashiriki mkutano
wa bunge la SADC nchini Malawi wakiongea na balozi wa Tanzania mjini
Lilongwe, Malawi, katika ofisi za ubalozi huo jioni ya leo.
Habari
zilizoandikwa na mtandao wa malawivoice.com kuwa Balozi Tsere kapewa
masaa 48 kuondoka nchini humo hazina ukweli wowote. Kwa mujibu wa Balozi
Tsere, habari hizo zinalenga kuvuruga mahusiano kati ya Malawi na
Tanzania.
Source.Michuzi Blog