KAZI YA OMBA OMBA SIO SIFA YA WAGOGO? HAPANA WANA SIFA NYINGINE BANA, CHECK HAPA

Huu ni mwendelezo tu wa ngoma za asili za Tanzania, hakuna ubishi kwamba Tz tuna mambo mengi mazuri ambayo kizazi cha sasa kinaonekana kuyap... thumbnail 1 summary
Huu ni mwendelezo tu wa ngoma za asili za Tanzania, hakuna ubishi kwamba Tz tuna mambo mengi mazuri ambayo kizazi cha sasa kinaonekana kuyapuuza na kujikita zaidi kwenye utamaduni wa nchi za magharibi, Tanga na ngoma yao ya Baikoko walikata viuno lakini kutoka Dodoma wagogo wao wanatikisa mabega, hahaha kazi kweli kweli.....check mwenyewe