Serikali
ya mapinduzi Zanzibar katika hali ya kudhibiti kikamilifu uharibifu na
uchafuzi wa mazingira kisiwani humo iliamua kudhibiti matumizi ya mifuko
ya plastiki na aina zote za mifuko hiyo na kuamua kufanya ukaguzi kwa
wananchi wote na wageni wanaoingia kisiwani humo kupitia bandari ya
Malindi Zanzibar. na pindi uingiapo tu badandarini hapo unakaribishwa
na tangazo hilo hapo juu.
Wageni
mbalimbali wakisubiri ukaguzi wa mizigo yao na endapo kama wana mifuko
ya plastiki basi huiacha hapo na kupewa mifuko aina nyingine.
Wafanyakazi wa katika kitengo hicho cha Udhibiti wa Mifuko ya plastiki wakifanya ukaguzi.
Chanzo: Zanzibartz