WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 28/09/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara na
Mwanza ]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Tabora, Kigoma
na Shinyanga ]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Lindi, Mtwara, Rukwa na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya
Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na
Morogoro]:
[Mikoa ya Dodoma na
Singida]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
ANGALIZO:
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA
MAENEO YA ZIWA VICTORIA. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
30°C
|
13°C
|
12:24
|
12:30
|
D'SALAAM
|
32°C
|
21°C
|
12:13
|
12:19
|
DODOMA
|
33°C
|
18°C
|
12:27
|
12:33
|
KIGOMA
|
31°C
|
21°C
|
12:57
|
12:58
|
MBEYA
|
30°C
|
08°C
|
12:36
|
12:41
|
MWANZA
|
28°C
|
18°C
|
12:38
|
12:44
|
TABORA
|
34°C
|
20°C
|
12:39
|
12:45
|
TANGA |
30°C
|
21°C
|
12:14
|
12:20
|
ZANZIBAR
|
32°C
|
22°C
|
12:13
|
12:19
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka
Kusini-Mashariki kwa Pwani ya
Kaskazini na
kutoka Mashariki kwa Pwani ya kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
30/09/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 28/09/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.