Shuhudia picha za tukio la mapigano makali kati ya simba ambapo simba kijana alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kubananishwa na simba mzee kwa zaidi ya masaa mawwili.
Pamoja na kipigo hicho simba kijana alijitutumua na kujibu mashambulizi kwa kiasi chake lakini mambo yalikuwa magumu sana kwake.
Tazama picha za tukio hili ambalo limetokea huko Afrika Kusini
Simba kijana anaajibu mashambulizi, kwanye mapigano huko Cheetah Plains, South Africa
Ngoma drooo
Face to face: Pamoja na kupata majeraha makubwa simba kijana bado aliendelea kuonyesha ushindani
Baada ya mapigano hayo ya muda mrefu walitokea simba jike wawaili na kumwokoa simba huyo ambaye alikuwa ameshajeruhiwa sana
Keeping watch: Sasa hawa simba jike badala ya kuingia kuokoa moja kwa moja, wanageuka watazamaji
Huruma ikawaingia, wakaanza kuamulia ugomvi
Baada ya kutoa vitisho kadhaa vya kumzuia simba mzee asipigane na simba kijana, simba jike wanaingia kwenye uwanja wa mapambano na kumwashia moto simba mzee.
Mpango mzima ni kumchangia huyu jamaa, picha zimepigwa na Justin Glanvill
It's all over: Si mchezo baada ya ugomvi sasa ni kupata maji
Chanzo: Daily Mail, na imetafsiriwa na tabianchi