WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735.
email: met@meteo.go.tz
UTABIRI
WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 22/10/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mwanza,
Mara na Kigoma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Tanga,
Dar-es-Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara ]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Ruvuma, Iringa,
Mbeya na Rukwa]: [Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa
ya Singida, Shinyanga, na Tabora]:
[Mikoa ya Dodoma na
Morogoro]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA
MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
29°C
|
13°C
|
12:13
|
12:23
|
D'SALAAM
|
33°C
|
21°C
|
11:59
|
12:15
|
DODOMA
|
31°C
|
17°C
|
12:14
|
12:29
|
KIGOMA
|
31°C
|
19°C
|
12:39
|
12:52
|
MBEYA
|
28°C
|
13°C
|
12:21
|
12:39
|
MWANZA
|
27°C
|
18°C
|
12:28
|
12:36
|
TABORA
|
34°C
|
19°C
|
12:27
|
12:40
|
TANGA |
31°C
|
22°C
|
12:02
|
12:15
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
22°C
|
11:59
|
12:15
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km
20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa
Pwani ya
Kaskazini na kutoka Kaskazini-Mashariki kwa
Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi
Madogo madogo.
Matazamio kwa siku ya Alhamis: 24/10/2013:
Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 22/10/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.