UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 03/10/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 03/10/2013.

[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mkoa wa Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro]:
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:
Hali ya mawingu kiasi na mvua katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga , Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[[Mikoa ya Tabora, Rukwa na  Shinyanga ]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

TAARIFA: Mvua zisizo za msimu zitokanazo na mgandamizo mdogo wa hewa katika Rasi ya Msumbiji,
zinatarajiwa kuendelea katika baadhi ya maeneo ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi na Kusini mwa nchi. Tafadhali fuatilia taarifa za Hali ya Hewa.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C               
15°C               
12:20
12:27
D'SALAAM
31°C           
21°C           
12:08
12:17
DODOMA
30°C
18°C
12:22
12:31
KIGOMA    
24°C
20°C
12:46
12:55
MBEYA
22°C
13°C
12:31
12:40
MWANZA
27°C
19°C
12:35
12:41
TABORA
30°C
19°C
12:34
12:43
TANGA
28°C
22°C
12:09
12:18
ZANZIBAR
30°C           
23°C           
12:08
12:17

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani
                               Yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 05/10/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 03/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.