WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 09/10/2013.
[Mkoa wa Kagera na Kigoma,]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Mara, Mwanza na
Shinyanga (Magharibi)]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida
na Tabora]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na
Morogoro]:
[Mikoa ya Lindi, Mtwara na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Dar-es-Salaam na
Pwani]:
[Mikoa ya Rukwa na
Shinyanga]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA
NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
15°C
|
12:20
|
12:27
|
D'SALAAM
|
33°C
|
22°C
|
12:08
|
12:17
|
DODOMA
|
30°C
|
17°C
|
12:22
|
12:31
|
KIGOMA
|
32°C
|
21°C
|
12:46
|
12:55
|
MBEYA
|
27°C
|
11°C
|
12:31
|
12:40
|
MWANZA
|
29°C
|
18°C
|
12:35
|
12:41
|
TABORA
|
32°C
|
19°C
|
12:34
|
12:43
|
TANGA |
30°C
|
22°C
|
12:09
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
23°C
|
12:08
|
12:17
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki;
kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa
Pwani yote
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
11/10/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 09/10/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.