Rais Kikwete atangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Nelson Mandela

Serikali ya Tanzania imetangaza siku tatu za maombolezo kuanzia leo (November 6) kufuatial kifo cha rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson... thumbnail 1 summary
Serikali ya Tanzania imetangaza siku tatu za maombolezo kuanzia leo (November 6) kufuatial kifo cha rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Madiba Mandela.
mandela
Rais Jakaya Kikwete ametangaza maombolezo ya siku 3 kuanzia leo hadi Desemba 8 kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela.

Kufuatia kifo hicho Rais Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusin , kwa kewe Bi Graca Machel, wanafamilia wote na wananchi wote wa Afrika Kusini.

Mandela amefariki jana huko Johannesburg akiwa na umri wa miaka 95 na yeye ndiye aliyeongoza Afrika Kusini kutoka mikononi wma watawala wa ubaguzi wa rangi baada ya kufungwa jela kwa miaka 27.

Source:ITV