Video: Ngoma ya baikoko ni utamaduni au laana?

Ninajiandaa kwenda zangu mkoani Tanga kujifunza mambo kadhaa juu ya utamaduni na ngoma ya baikoko, maana kupitia mitandao mbalimbali nimeona... thumbnail 1 summary
Ninajiandaa kwenda zangu mkoani Tanga kujifunza mambo kadhaa juu ya utamaduni na ngoma ya baikoko, maana kupitia mitandao mbalimbali nimeona video na simulizi nyingi kuhusu ngoma hiyo ambayo naambiwa ukienda kuitazama ukitoka salama ni jambo la kushukuru.

Nimekuletea video hiyo hapo chini utazame na kama una maoni unieleze hii ni ngoma ya utamaduni wetu? au laana! kuna vionjo vimeongezwa ama namna gani.