UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 19/01/2014

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA H... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/01/2014.


[Mikoa ya Morogoro (Kusini) na Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa na Mbeya ]:


Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.



[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Rukwa, Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kagera na Mara]:




Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:




Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mkoa wa Morogoro(Kaskazini)]
[Mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:





Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C
13°C
12:34
12:46
D'SALAAM
33°C
24°C
12:17
12:43
DODOMA
26°C
18°C
12:32
12:56
KIGOMA
29°C
21°C
12:57
01:19
MBEYA
22°C
13°C
12:36
01:10
MWANZA
24°C
16°C
12:49
01:00
TABORA
29°C
19°C
12:45
01:07
TANGA
33°C
24°C
12:20
12:42
ZANZIBAR
32°C
25°C
12:17
12:43


Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 21/01/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 19/01/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.