Picha: Chui na fisi wakila pamoja, uzalendo na upendo @50

Kama una picha za wanyama tuma kwa whatsapp yangu 0757361266! Sio kila siku mzungu wa nane wakati mwingine mnaonyeshana makopakopa tu ... thumbnail 1 summary
Kama una picha za wanyama tuma kwa whatsapp yangu 0757361266!

Sio kila siku mzungu wa nane wakati mwingine mnaonyeshana makopakopa tu kikubwa maisha yaendelee, chui na fisi wanakula pamoja!! hahaha ni mara chache sana kutokea lakini ndo imetokea huko Little Governors Camp ndani ya Masai Mara

Cheki chui na fisi wanaonyesha uzalendo kwa kushow upendo @50, raha sana!

leopard-and-hyena leopard-and-hyena-at-kill leopard-and-hyena-kill leopard-hyena-battle-at-kill leopard-hyena leopard-hyena-battle leopard-hyena-kill
leopard-and-hyena-share-kill