Maandalizi kuelekea maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani

 Waziri wa Nchi  Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Eng. Dkt Binilith Satano Mahenge akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha... thumbnail 1 summary
 Waziri wa Nchi  Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Eng. Dkt Binilith Satano Mahenge akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam  kuhusu maadhimisho ya siku ya Mazingira duniani yatakayofanyika 5 juni mwaka huu jijini Mwanza.
 Waziri wa Nchi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Eng. Binilith Satano Mahenge (kwanza kushoto)  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), pembeni ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Angelina Madete.
Sehemu ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Eng. Binilith Mahenge(hayupo pichani).

PICHA:Ofisi ya Makamu wa Rais.