PICHA: CHATU WA MBEYA ANASWA, YADAIWA KUNA CHATU WENGI KWENYE ENEO HILO

Msaka Nyoka akiendelea na zoezi lake la kumsaka Chatu aliyetishia usalama wa wakazi wa Jiji la Mbeya Msaka Nyoka na mwenzie wakiwa n... thumbnail 1 summary
Msaka Nyoka akiendelea na zoezi lake la kumsaka Chatu aliyetishia usalama wa wakazi wa Jiji la Mbeya

Msaka Nyoka na mwenzie wakiwa na Nyoka aliyekuwa anawatia hofu wakazi wa Jiji la Mbeya katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mbeya

Nyoka aina ya Chatu anayedaiwa kuwatia hofu wakazi wa Jiji la Mbeya baada ya kunaswa leo asubuhi Chanzo: Rashid Mkwinda