WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 23/05/2014.
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa
ya, Dar es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Tanga na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Shinyanga na Mwanza]:
[Mikoa ya Ruvuma, Dodoma na
Rukwa]:
[Mikoa ya Tabora, Kigoma na
Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Njombe na
Mbeya]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
ANGALIZO:
UPEPO MKALI
UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA UNATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI NA ZIWA
VICTORIA. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA
JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
15°C
|
12:32
|
12:28
|
D'SALAAM
|
30°C
|
21°C
|
12:27
|
12:11
|
DODOMA
|
28°C
|
16°C
|
12:40
|
12:26
|
KIGOMA
|
31°C
|
19°C
|
01:02
|
12:52
|
MBEYA
|
23°C
|
10°C
|
12:53
|
12:31
|
MWANZA
|
29°C
|
18°C
|
12:45
|
12:43
|
TABORA
|
30°C
|
15°C
|
12:50
|
12:40
|
TANGA |
30°C
|
22°C
|
12:25
|
12:15
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
24°C
|
12:27
|
12:11
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa kutoka
Kusini kwa Pwani yote
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa.
Matazamio kuanzia siku ya Jumapili
tarehe 25/05/2014 Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 23/05/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.