WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 26/05/2014.
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam
Tanga na Pwani]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,
Njombe]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
hali yaawingu kiasi, mvua
katika maeneo machae na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Ruvuma, Dodoma na
Rukwa]:
[Mikoa ya Tabora, Mwanza na
Singida]:
[Mikoa ya Lindi Shinyanga,
na Mtwara]:
[Mikoa ya Kagera, Mara na Kigoma]:
[Mkoa wa Morogoro]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
ANGALIZO:
MAWIBI MAKUBWA
YANAYOZIDI MITA 2.0 YANATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
VIWANGO
VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha joto
|
Kiwango cha chini cha joto
|
Mawio (Saa)
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
16°C
|
12:32
|
12:28
|
D'SALAAM
|
28°C
|
22°C
|
12:27
|
12:11
|
DODOMA
|
27°C
|
17°C
|
12:40
|
12:26
|
KIGOMA
|
30°C
|
16°C
|
01:02
|
12:52
|
MBEYA
|
22°C
|
07°C
|
12:53
|
12:31
|
MWANZA
|
29°C
|
17°C
|
12:45
|
12:43
|
TABORA
|
30°C
|
16°C
|
12:50
|
12:40
|
TANGA |
28°C
|
24°C
|
12:25
|
12:15
|
ZANZIBAR
|
28°C
|
23°C
|
12:27
|
12:11
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka
Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa
Pwani ya Kusini
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatano:
28/05/2014: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 26/05/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.