MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA TANZANIA TCAA YATIA FOLA KATIKA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Wanafunzi wa shule ya sekondari Mnazi Mmoja wakiangalia moja ya mfano wa ndege wakati walipotembelea katika banda la Mamalaka ya Usa... thumbnail 1 summary
Wanafunzi wa shule ya sekondari Mnazi Mmoja wakiangalia moja ya mfano wa ndege wakati walipotembelea katika banda la Mamalaka ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA, Katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa Utwala Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania TCAA,Catherine Morarya akiwaonyesha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mnazi Mmoja ya jijini Dar es Salaam redio ya upepo inayotumika kwa mawasiliano ya anga, wakati walipofika kujifunza maswala ya anga katika banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea hapa nchini.
Afisa Habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania *TCAA* Faustine Ngongo akiwaelezea baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo lililopo kwenye Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.