Picha: Mbio za baiskeli Shinyanga, wanawake waendesha baiskeli na ndoo za maji kichwani

WANAWAKE WAKIENDESHA BAISKELI KATIKA UWANJA WA CCM KAMBARAGE MJINI SHINYANGA  WAKIWA NANDOO YA MAJI LITA 25 KICHWANI MSHINDI KUSHIRIKI ... thumbnail 1 summary

WANAWAKE WAKIENDESHA BAISKELI KATIKA UWANJA WA CCM KAMBARAGE MJINI SHINYANGA  WAKIWA NANDOO YA MAJI LITA 25 KICHWANI MSHINDI KUSHIRIKI MASHINDANO YA KANDA LENGO LIKIWA NI KUIMARISHA MCHEZO WA WAENDESHA BAISKELI.MASHINDANO HAYO YALIFANYIKA JANA YAKIWA NI YA AWALI NA YAMEANDALIWA NA CHAMA CHA WAENDESHA BAISKELI TANZANIA (CHABATA ).PICHANI NI BI JENNY SHABAN  AMBAYE ALIIBUKA MSHINDI KWA UPANDE WA WANAWAKE  KATIKA SHINDANO  HILO NA ATASHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA KANDA YA ZIWA  YATAKAYOFANYIKA MJINI KAHAMA TAREHE 23.8.2014

WAENDESHA BAISKELI WAKIJIANDAA KUANZA SAFARI YA KUENDESHA BAISKELI KILOMETA 80
KATIBU WA CHAMA CHA WAENDESHA BAISKELI TANZANIA (CHABATA )JOHN MACHEMBA AKITOA NRNO LA UTANGULIZI KATIKA MASHINDANO HAYO AMBAPO ALISEMA KUWA MASHINDANO HAYO NI YA AWALI WASHINDI WATASHINDANISHWA MWEZI WA NANE
WASHIRIKI 59 WA MASHINDANO YA KUENDESHA BAISKELI MKOANI SHINYANGA AMBAPO WATAENDESHA BAISKELI KILOMITA 80 KUTOKA UWANJA WA CCM KAMBARAGE HADI TINDE NA KURUDI