Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Profesa Rwekaza Mukandara
akifungua mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaofanyika katika hoteli
ya Kunduchi nje kidogo ya jiji la Dar Es salaam ukiwashirikisha watafiti
na wanamazingira kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania.
Mkurugenzi
wa kituo cha mafunzo ya mabadiliko ya tabianchi cha chuo kikuu cha Dar
Es Salaam Profesa Pius Yanda akiwasilisha mada katika mkutano huo.
Profesa
Mukandara akijadiliana na wataalam wanaoshiriki kwenye mkutano huo muda
mfupi baada ya ufunguzi wa mkutano huo unaofanyika Kunduchi nje kidogo
ya jiji la Dar es salaam.
Wataalam
wa mazingira na watafiti kutoka vyuo vikuu mbalimbali kikiwemo cho
kikuu cha Dar es salaam na wadau wengine wa mazingira wanaohudhuria
mkutano huo wa mabadiliko ya tabianchi katika picha ya pamoja na mgeni
rasmi Profesa Rwekaza Mukandara muda mfupi baada ya ufunguzi wa mkutano
huo.Picha zote na Vedasto Msungu.