UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 18/09/2014.

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI Y... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 18/09/2014.


[Mikoa ya Shinyanga, Kagera, Mara, Mwanza na Geita]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam , Tanga na Pwani]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Ruvuma , Njombe na Mbeya]:
[Mikoa ya Kigoma na Tabora]:
[Mikoa ya Lindi na  Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C               
15°C               
12:30
12:31
D'SALAAM
30°C            
19°C           
12:19
12:20
DODOMA
29°C
15°C
12:43
12:34
KIGOMA    
31°C
21°C
12:57
12:58
MBEYA
27°C
07°C
12:44
12:42
MWANZA
28°C
20°C
12:43
12:46
TABORA
32°C
19°C
12:45
12:46
TANGA
29°C
22°C
12:20
12:21
ZANZIBAR
29°C           
20°C            
12:19
12:20

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya
                                 Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
                                   
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumamosi: 20/09/2014: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 18/09/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.