Katibu
Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir (kushoto) Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles Chacha na mjumbe wa Bodi wa
TCAA Yussuf Mohammed Ali wakimsikilza kwa makini Meneja Mipango na
Tathimini wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) mhandisi Mbila
Mdemu wakati walipotembelea banda la TAA lililopo kwenye maonyesho ya
wiki ya usafiri wa anga Duniani yanayofanyika kwenye viwanja vya Makao
makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) .jijini Dar es
Salaam.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Bw. Charles Chacha wakati
alipotembelea kwenye maonyesho ya wiki ya usafiri wa anga Duniani
yanayofanyika kwenye viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa
Anga Tanzania (TCAA) .jijini Dar es Salaam:” Kauli mbiu ikiwa ni “
Miongo saba ya ushirikiano wa maendeleo ya Usafiri wa Anga na kusherekea
miaka Sabini ya Mkataba wa Kimataifa wa Chikago. Kulia ni Mwenyekiti
wa kamati ya maandalizi ya wiki ya usafiri wa anga , Mtesigwa Maugo na
Mjumbe wa Bodi wa TCAA Yussuf Mohammed Ali.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir akisiitiza jambo kwa Mwenyekiti wa
kamati ya maandalizi ya wiki ya usafiri wa anga, Mtesigwa Maugo wakati
alipotembelea kwenye maonyesho ya wiki ya usafiri wa anga Duniani
yanayofanyika viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) .jijini Dar es Salaam,Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles Chacha na Mjumbe wa Bodi ya
TCAA Yussuf Mohammed Ali.
Baadhi
ya wadau wa Mamlaka yaUsafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakiwa kwenye
warsha inayohusu sekta ya usafiri wa Anga nchini ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya wiki ya usafiri wa anga Duniani inayofanyika kawenye
viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).
Katibu
Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu na Mawasiliano Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar Dk.Juma Akir na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga(TCAA)Charles Chacha wakati alipotembelea kwenye
maonyesho ya wiki ya usafiri wa anga Duniani yanayofanyika kwenye
viwanja vya Makao makuu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)
.jijini Dar es Salaam:” Kauli mbiu ikiwa ni “ Miongo saba ya ushirikiano
wa maendeleo ya Usafiri wa Anga na kusherekea miaka Sabini ya Mkataba
wa Kimataifa wa Chikago.