Mdau Elias Mwashiuya wakili wa Precision Air afunga pingu za maisha

Mdau wa sheria nchini na mwanasheria wa kampuni ya Precision Air Elias Tenson Mwashiuya juzi Jumamosi alifunga pingu za maisha na Mwanada... thumbnail 1 summary
DSC00019
Mdau wa sheria nchini na mwanasheria wa kampuni ya Precision Air Elias Tenson Mwashiuya juzi Jumamosi alifunga pingu za maisha na Mwanadada mrembo wa Kinyamwezi wa kule Tabora jamani harusi la kukata na shoka watajibeba haoooooooo!
Jamani mdau huyu Elias ni wakili si wa umbeya wa issues za maana si unaona madege ya Precision air hadi bondeni mpaka Pemba ya Mozambique wadau mpo!
Elias katika pozi mbalimbali na wife wake Bi Lilian Semmy Mkumbo katika reception iliyofanyika ukumbi wa Josam House Mwenge  
DSC00006

Wageni waalikwa wakitoa pongezi kwa maharusi.
DSC00041

Mdau wa sheria nchini na mwanasheria wa kampuni ya Precision Air Elias Tenson Mwashiuya akisakata Rhumba na maiwaifu wake.
DSC00034
Elias katika tabasamu pana na wife wake watajibeba.
Chanzo: Moblog