UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 06/12/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA ... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 06/12/2013.


[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya  Kigoma na Tabora]:


Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]: [Mikoa ya Dodoma, Shinyanga na Singida]: [Mikoa ya  Kagera Mara na Mwanza]:


Hali ya mawingu Kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na  Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
 


[Mikoa ya Lindi na Morogoro]:

Hali ya mawingu kiasi , mvua  katika  maeneo machache  na vipindi vya jua.

Hali ya mawingu kiasi , mvua nyepesi katika  maeneo machache  na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28C               
19°C               
12:17
12:31
D'SALAAM
33°C           
23°C
11:59
12:27
DODOMA
32°C
21°C
12:15
12:36
KIGOMA   
24°C
18°C
12:40
01:02
MBEYA
26°C
12°C
12:19
12:53
MWANZA
27°C
19°C
12:32
12:44
TABORA
28°C
18°C
12:28
12:50
TANGA
32°C
24°C           
12:03
12:25
ZANZIBAR
32°C           
24°C           
11:59
12:27

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvumaKutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa  kwa
                               Pwani   yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumapili: 08/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                                       
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 06/12/2013.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.