Rais Kikwete atawazwa Omukuma (Chifu) wa Missenyi

Picha juu na chini ni Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. ... thumbnail 1 summary
bk4

Picha juu na chini ni Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi wa wazee wa Missenyi, Mzee Ernest Babeiya.
bk8
bk7
bk13
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Kagera waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.(PICHA NA IKULU).
bk1