News Alert: Sita wadaiwa kufa katika ajali ya ndege, akiwemo aliyekuwa Mtendaji wa ‘Microsoft’ Bill Henningsgaard

EAST HAVEN, Conn. (AP) Maiti wanne wameopolewa kutoka katik eneo ambalo ndege ndogo mali ya aliyekuwa mtendaji wa kampuni ... thumbnail 1 summary





EAST HAVEN, Conn. (AP) Maiti wanne wameopolewa kutoka katik eneo ambalo ndege ndogo mali ya aliyekuwa mtendaji wa kampuni ya Microsoft Bill Henningsgaard imepata ajali baada ya kugonga nyumba mbili huko EAST HAVEN.

Mmiliki huyo wa ndege naye anadhaniwa kuwa miongoni mwa watu waliokufa japo mamlaka bado hazijathibitisha hilo na hivyo wanasubiri kupata taarifa zaidi baada ya kuwasiliana na ndugu zake kujua kama alikuwa ni miongoni mwa waliosafiri na ndege hiyo