Baadhi ya washiriki
katika mafunzo ya hifadhi ya tabaka la ozone jijini Mwanza (Picha na Evelyn
Mkokoi)
Mafunzo baada ya maadhimisho ya siku ya tabaka la ozone duniani yaendelea jijini Mwanza
Kulia bwana Sheejo
Varghsese, meneja katika kiwanda cha kutengeneza samaki cha Tanpearch cha
jijini Mwanza akiwaonyesha washiriki wa mafunzo katika maadhimisho ya siku ya
ozone, namna mitambo ya kuupozea katika kiwanda hicho yenye kemikali rafiki
kwa tabaka la ozone inavyofanya kazi.
Bwana Robnson Swai
mwalimu wa VETA Moshi, akitoa mada wakati wa mafunzo kwa mafundi na washiriki
wengine jijini Mwanza katika siku ya pili baada ya maadhimisho ya siku ya Ozone
Duniani