UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 24/09/2013

WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA  YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz UTABIRI WA HALI YA HE... thumbnail 1 summary
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 24/09/2013.

[Mikoa ya Kagera, Kigoma, Mara na Mwanza ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Shinyanga ]:
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Tanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Morogoro , Dar-Es-Salaam  na Pwani]:
[Mikoa ya Mtwara , Lindi na  Ruvuma]:
[Mikoa ya Iringa,  Singida na Dodoma]: 
[Mikoa ya Rukwa, Tabora  na Mbeya]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27°C               
16°C               
12:24
12:30
D'SALAAM
33°C           
20°C           
12:13
12:19
DODOMA
29°C
17°C
12:27
12:33
KIGOMA   
28°C
20°C
12:57
12:58
MBEYA
25°C
15°C
12:36
12:41
MWANZA
30°C
18°C
12:38
12:44
TABORA
31°C
20°C
12:39
12:45
TANGA
30°C
23°C
12:14
12:20
ZANZIBAR
31°C           
22°C           
12:13
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka kaskazini kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Alhamis: 26/09/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 24/09/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.